mkuuwakaya
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 1,196
- 1,627
Ili watu wafe si ndiyo unavyotaka?,kuna haja gani sasa hilo litokee si heri mbaki madarakani kunusuru maisha ya watu.Mtu yeyote anayewahubiria watu kuwa hakutakuwa na uchaguzi, huyo mtu ni tapeli.
Ni kwamba uchaguzi utakuwepo
Watu wataamka wataenda kupiga kura na matokeo yatatangazwa. Na maisha yataendelea.
Ushauri wangu Chadema washiriki uchaguzi kwenye mazingira hayo hayo na matendo yatakayotokea ndio yawe justifications nzuri kwa ajili ya reforms kuelekea 2030.
Kwa ujumla mwaka huu watu wako tayari kuwapa kura nyingi ambazo zitasaidia kupata japo wabunge wa viti maalum na hatimaye ruzuki ambayo itasaidia kuendesha baadhi ya shughuli za chama.
Nguvu inayoelekezwa kuzuia uchaguzi hiyohiyo ielekee kuhamasisha watanzania kukikataa chama dola CCM. Pambana ukiwa ndani sio nje.
Pia viongozi wajibu swali kwamba uchaguzi unazuije nchi nzima. Hivi ni vitu vya kufikirika. Ni mjinga tu anaweza fikiria kuwa anaweza zuia uchaguzi. Demokrasia ni mapambano ndio maana wako wanaokufa. Sasa ukiogopa kwamba watu watakufa au kutekwa au kura zitaibiwa halafu unakaa pembeni, CCM wanawazoom tu na kuchekelea. Trngeneza plan ya ku counter hayo mambo. Huwezi kuletewa demokrasia kwenye kisosi.
Demokrasia ni mapambano, ndio maana kuna wanaokufa na kupotea. Yaan upambane na ccm hii kusiwe na matukio maovu? Hiyo never. Ninkuendelea kupambana kuyapunguza kwa kuraise awarenessIli watu wafe si ndiyo unavyotaka?,kuna haja gani sasa hilo litokee si heri mbaki madarakani kunusuru maisha ya watu.
Baada ya October utaniambia ni upuuzi au sio upuuzi. Baada October sio mbali. Na wakati huo huenda mwenyekiti yuko ndani au yuko Likizo nje na familiaUmeandika upuuzi. Au umetumwa?
Umeandika upuuzi. Au umetumwa?
Mshauri wao Mkuu ni Maria wa Nairobi na ndie De Facto leader. Kamati Kuu yao ni Club House.Mtu yeyote anayewahubiria watu kuwa hakutakuwa na uchaguzi, huyo mtu ni tapeli.
Ni kwamba uchaguzi utakuwepo
Watu wataamka wataenda kupiga kura na matokeo yatatangazwa. Na maisha yataendelea.
Ushauri wangu Chadema washiriki uchaguzi kwenye mazingira hayo hayo na matendo yatakayotokea ndio yawe justifications nzuri kwa ajili ya reforms kuelekea 2030.
Kwa ujumla mwaka huu watu wako tayari kuwapa kura nyingi ambazo zitasaidia kupata japo wabunge wa viti maalum na hatimaye ruzuki ambayo itasaidia kuendesha baadhi ya shughuli za chama.
Nguvu inayoelekezwa kuzuia uchaguzi hiyohiyo ielekee kuhamasisha watanzania kukikataa chama dola CCM. Pambana ukiwa ndani sio nje.
Pia viongozi wajibu swali kwamba uchaguzi unauzuiaje nchi nzima. HOW????. Hivi ni vitu vya kufikirika. Ni mjinga tu anaweza fikiria kuwa anaweza zuia uchaguzi. Demokrasia ni mapambano ndio maana wako wanaokufa. Sasa ukiogopa kwamba watu watakufa au kutekwa au kura zitaibiwa halafu unakaa pembeni, CCM wanawazoom tu na kuchekelea. Tengeneza plan ya ku counter hayo mambo. Huwezi kuletewa demokrasia kwenye kisosi.
Ni mara ngapi wameshashiriki kwenye mazingira kama haya? Mara ya mwisho ni mwaka jana na hii tume ya CCM ilifanya unyama wa hali ya juu. Huoni ndiyo maana imekuwa kama justification ya huu msimamo? Najua baadhi ya wanachama wa CHADEMA wanajua hata uchaguzi uvurugwe namna gani, wao ni lazima watapata ubunge wa viti maalum na ndiyo hawa wanao-push kwa nguvu zote wakitaka washiriki uchaguzi kwa sababu ya maslahi yao binafsi. Walikuwa wamezoea kipindi cha mpiga deal Mbowe.Mtu yeyote anayewahubiria watu kuwa hakutakuwa na uchaguzi, huyo mtu ni tapeli.
Ni kwamba uchaguzi utakuwepo
Watu wataamka wataenda kupiga kura na matokeo yatatangazwa. Na maisha yataendelea.
Ushauri wangu Chadema washiriki uchaguzi kwenye mazingira hayo hayo na matendo yatakayotokea ndio yawe justifications nzuri kwa ajili ya reforms kuelekea 2030.
Kwa ujumla mwaka huu watu wako tayari kuwapa kura nyingi ambazo zitasaidia kupata japo wabunge wa viti maalum na hatimaye ruzuki ambayo itasaidia kuendesha baadhi ya shughuli za chama.
Nguvu inayoelekezwa kuzuia uchaguzi hiyohiyo ielekee kuhamasisha watanzania kukikataa chama dola CCM. Pambana ukiwa ndani sio nje.
Pia viongozi wajibu swali kwamba uchaguzi unauzuiaje nchi nzima. HOW????. Hivi ni vitu vya kufikirika. Ni mjinga tu anaweza fikiria kuwa anaweza zuia uchaguzi. Demokrasia ni mapambano ndio maana wako wanaokufa. Sasa ukiogopa kwamba watu watakufa au kutekwa au kura zitaibiwa halafu unakaa pembeni, CCM wanawazoom tu na kuchekelea. Tengeneza plan ya ku counter hayo mambo. Huwezi kuletewa demokrasia kwenye kisosi.
Mleta mada ni mpuuzi kama wapuuzi wengine.Umeandika upuuzi. Au umetumwa?
what is plan B au alternative option to no reform no election! CDM wasemeMtu yeyote anayewahubiria watu kuwa hakutakuwa na uchaguzi, huyo mtu ni tapeli.
Ni kwamba uchaguzi utakuwepo
Watu wataamka wataenda kupiga kura na matokeo yatatangazwa. Na maisha yataendelea.
Ushauri wangu Chadema washiriki uchaguzi kwenye mazingira hayo hayo na matendo yatakayotokea ndio yawe justifications nzuri kwa ajili ya reforms kuelekea 2030.
Kwa ujumla mwaka huu watu wako tayari kuwapa kura nyingi ambazo zitasaidia kupata japo wabunge wa viti maalum na hatimaye ruzuki ambayo itasaidia kuendesha baadhi ya shughuli za chama.
Nguvu inayoelekezwa kuzuia uchaguzi hiyohiyo ielekee kuhamasisha watanzania kukikataa chama dola CCM. Pambana ukiwa ndani sio nje.
Pia viongozi wajibu swali kwamba uchaguzi unauzuiaje nchi nzima. HOW????. Hivi ni vitu vya kufikirika. Ni mjinga tu anaweza fikiria kuwa anaweza zuia uchaguzi. Demokrasia ni mapambano ndio maana wako wanaokufa. Sasa ukiogopa kwamba watu watakufa au kutekwa au kura zitaibiwa halafu unakaa pembeni, CCM wanawazoom tu na kuchekelea. Tengeneza plan ya ku counter hayo mambo. Huwezi kuletewa demokrasia kwenye kisosi.
Sawa mi mpuuzi. Uchaguzi unauzuiaje nchi nzima? Kaa mwenyewe fikiria kwa watanzania hawa ambao mi nawajua unauzuiaje uchaguzi sio kwenye kata au jimbo ni nchi nzima, how?Mleta mada ni mpuuzi kama wapuuzi wengine.
Walishazoea Chadema ya Madalali wa Kisiasa ili kuwarubuni Watanzania sasa imekuja CHADEMA ya Wasafi wasioangalia maslahi binafsi bali Maslahi ya kweli kwa Watanzania wote saivi wanaweweseka.
Si mulimuona CPA Makala kanjanja? Jipimeni!Pia viongozi wajibu swali kwamba uchaguzi unauzuiaje nchi nzima. HOW????. Hivi ni vitu vya kufikirika.

Hawna, kil mtu na lwake. Lisu ndiyo usiseme, hopless kabisa!Mtu yeyote anayewahubiria watu kuwa hakutakuwa na uchaguzi, huyo mtu ni tapeli.
Ni kwamba uchaguzi utakuwepo
Watu wataamka wataenda kupiga kura na matokeo yatatangazwa. Na maisha yataendelea.
Ushauri wangu Chadema washiriki uchaguzi kwenye mazingira hayo hayo na matendo yatakayotokea ndio yawe justifications nzuri kwa ajili ya reforms kuelekea 2030.
Kwa ujumla mwaka huu watu wako tayari kuwapa kura nyingi ambazo zitasaidia kupata japo wabunge wa viti maalum na hatimaye ruzuki ambayo itasaidia kuendesha baadhi ya shughuli za chama.
Nguvu inayoelekezwa kuzuia uchaguzi hiyohiyo ielekee kuhamasisha watanzania kukikataa chama dola CCM. Pambana ukiwa ndani sio nje.
Pia viongozi wajibu swali kwamba uchaguzi unauzuiaje nchi nzima. HOW????. Hivi ni vitu vya kufikirika. Ni mjinga tu anaweza fikiria kuwa anaweza zuia uchaguzi. Demokrasia ni mapambano ndio maana wako wanaokufa. Sasa ukiogopa kwamba watu watakufa au kutekwa au kura zitaibiwa halafu unakaa pembeni, CCM wanawazoom tu na kuchekelea. Tengeneza plan ya ku counter hayo mambo. Huwezi kuletewa demokrasia kwenye kisosi.
Demokrasia ni mapambano, ndio maana kuna wanaokufa na kupotea. Yaan upambane na ccm hii kusiwe na matukio maovu? Hiyo never. Ninkuendelea kupambana kuyapunguza kwa kuraise awareness
Baada ya October utaniambia ni upuuzi au sio upuuzi. Baada October sio mbali. Na wakati huo huenda mwenyekiti yuko ndani au yuko Likizo nje na familia
Pia fikirieni maisha ya chama baada ya Octoba hadi 2030 yatakuwaje