Ni nani mshauri wa Chadema kwa sasa, nimekumbuka sana enzi za kina Prof. Baregu?

Ili watu wafe si ndiyo unavyotaka?,kuna haja gani sasa hilo litokee si heri mbaki madarakani kunusuru maisha ya watu.
Wewe unavyoona ikitokea chadema wameshinda uchaguzi unadhani watu hawatakufa?.Siasa ni maslahi na hakuna maslahi yanayokuja kirahisi.lazima kuwe na watu wanaokufa ili wengine waishi.Chadema mnalilia mabadiliko kwa kususa.Hakuna kitu ha hicho duniani.Mabadiliko na mapambano lazima kafara iwepo.
 
Kwanini upambane?. Tunataka mfumo wa uchaguzi wa kuaminiana. Mbona Ghana, Zambia, Kenya, Malawi, Botswana na SA wameweza?.
Sio kila kitu kilichowezekana nchi zingine kiwezekane hapa kirahisi rahisi tu.Hizo nchi unavyoziona jua kuna ambao walipambania hayo mabadiliko nambadiliko ni jambo lamuda mrefu.
 
Kwani Sasa hivi inawabunge wangapi? Bunge lote limejaa CCM na bado unawalalamikia CHADEMA.
Sawa na uchaguzi unazuiaje?? Kwa
watu kutokwenda kupiga kura siku hiyo.

Watu funga vituo vya kupiga kura siku hiyo.

Au mtahamisha tu fujo ilimradi siku ya uchaguzi mgombane na polisi.

Hizo fujo zitakuwa nchi nzima na vituo vyote vya uchaguzi, huu mnaofanya ni utoto uliopitiliza
 
Matatizo ya watoto njiti matokeo yake ndio haya, wanafikiri kupitia tumbo maana akili haikufanikiwa kukomaa
 
Sina wasiws
Sina mashaka kuhusu wazimu wa mtoa post
 
Kwanini upambane?. Tunataka mfumo wa uchaguzi wa kuaminiana. Mbona Ghana, Zambia, Kenya, Malawi, Botswana na SA wameweza?.
Unataka demokrasia ya kuletewa kwenye bakuli sio!
 
Hatuwaambii mpk muda ufike ndiyo mtaona uchaguzi unavyozuiwa. CCM mtajamba hadharani mwaka huu
Mimi sio ccm aisee labda kama wewe ni ccm. Huna hoja ndio maana wote wanaojibu wanatukana au kutoa kejeli. Lkn hawasemi hiyo no election inatekelezwaje.
 
CHADEMA ishiriki ama isishiriki itashindwa tu
 
Tundu Lisu amekosea hesabu ndogo sana, kuwakomesha CCM ilikuwa ni kuanza kuhubiri namna wanavyoiba kura kwasababu tayari mbinu zinazotumika wanazijua. Wangechagua majimbo kadhaa ya kuhangaika nayo wakawekeza nguvu nyingi kwenye vituo vya kupigia kura na kuhesabia kura na wakaweka mawakala jasiri kura zingepatikana kuliko hiki wanachokidai sasa hivi. Hizo reforms ambazo hawakuzidai kwa nguvu hizi miaka yote hiyo wangeanza kuzidai baada ya uchaguzi

CCM hawana ujanja sasa hivi zaidi ya kujipigia kura feki na kubuni idadi ya wapiga kura kwasababu hakuna mwamko wa watu kupiga kura

Waliopendekeza kuwa uwezekano wa kuzuia uchaguzi wakiwa ndani ni mkubwa naona wako sahihi kuliko hizi ngonjera zinazoendelea sasa hivi
 
Mimi sio ccm aisee labda kama wewe ni ccm. Huna hoja ndio maana wote wanaojibu wanatukana au kutoa kejeli. Lkn hawasemi hiyo no election inatekelezwaje.
Unataka uambiwe wewe kama nani na ili iweje?

Tuliza kinyeo chako subiri wanaume wapambane
 
Unataka uambiwe wewe kama nani na ili iweje?

Tuliza kinyeo chako subiri wanaume wapambane
Hahahaa huna hoja zaid ya matusi, habari za vi nyeo zinatoka wapi?Kama wapinzani ndio wa dizaini yako basi safari ya ukombozi iko mbali. Unachojua ni kutukana tu hatari sana aisee
 
Ushauri wangu Chadema washiriki uchaguzi kwenye mazingira hayo hayo na matendo yatakayotokea ndio yawe justifications nzuri kwa ajili ya reforms kuelekea 2030.
Mbona yalikwishatokea 2020. Wewe unataka yatokee mara ngapi mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…