Ni nani mshauri wa Chadema kwa sasa, nimekumbuka sana enzi za kina Prof. Baregu?

Kwa ujumla mwaka huu watu wako tayari kuwapa kura nyingi ambazo zitasaidia kupata japo wabunge wa viti maalum na hatimaye ruzuki ambayo itasaidia kuendesha baadhi ya shughuli za chama.
Mageuzi yana gharama zake. Kamuulize Mzee Madiba.
 
Ww naona unazungumza kwa usahihi, badala ya kuacha kushiriki ni bora kushiriki na kuwa tayari kufanya machafuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…