Tausi Rehani
Member
- Aug 29, 2020
- 22
- 45
- Thread starter
- #21
Elimu inadharauliwa kwasababu watanzania wengi wanasaka ukombozi wa kiuchumi kuliko ukombozi wa kifikra.bongo elimu inadharauliwa pakubwa sana.sijui shida nini?
Hii ni kutokana na changamoto za kiuchumi tu mkuu, mtu anaona haina maana kusoma na kusota mtaani wakati kuna deals ndogondogo anaweza akafanya akaendesha maisha ya kila siku.