Ni nani Salma Madai, Mtaalamu wa IT mwenye ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

Ukisomea fani yeyote bila kuifantia kazi......hiyo huitwa history of IT.....miaka 13 yuko nje game khaaaa hamna kituuuu
Labda anaipractice kivyake si umeskia anasema inamsaidia kwenye kazi zake.
 
wa dizaini Kama sio msafi mkiwa faragha utajuta maana ni kama Dampo la Veyula
Kama ni hivi basi wanasiasa wa kike wenye uzuri wanachangamoto maana hamjadili elimu yake, shughuli zake ila uzuri wake.
 
Akizungumza na mwanablog Magendela kupitia SALMA MADAI IT ANAYETEMBEA NA NDOTO ZA RAIS DKT SAMIA
Novemba, 2023, mdada mrembo wa sura na umbo, ameelezea ndoto za kuwa Rais wa Tanzania siku baadae.

Salma ambaye amekuwa akijiita Salama wa Samia Suluh katika mtandao instagram, amedai kuwa na asili ya kutoka Manyoni,Singida kwa sasa ni Mwenyekiti wa UWT CCM tawi la Mbezi na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar Es Salaam.

Vilevile amejitanabaisha kama mwanaharakati wa kutetea usawa na haki za jinsia ambaye ni mwenyekiti wa Taasisi ya DMI Foundation na pia ni makamu mwenyekiti wa Jumuiya ya kupiga ukatili wa wanawake SMAUJATA na Mkuu wa Idara ya wanawake Taifa wa TK Movement.

Akiongea na Bloger amesema alipata elimu ya Shule ya Msingi Utemini kuanzia mwaka 1992 hadi 1998 na Sekondari ya Salmin Amour 1999 hadi 2002.

Kada huyo wa CCM anasema taaluma yake ya IT ( ambayo hakumuelezea aliipata wapi) hajaitumikia kwa muda mrefu, kwani ndoto yake ilikuwa ni kufanya biashara na shughuli za kijamii.
Anasema amefanya biashara ya kuuza viatu na nguo kwa takribani miaka 12 na baadae biashara ya kuuza virutubisho vya lishe.

"Biashara hii ya virutubisho vya tiba lishe nauza Tanzania, Rwanda, Burundi, Uganda, Kenya, Zambia na kwingineko ambapo anakira kuwa elimu yake ya IT imekuwa msaada kwake zaidi" alieleza

Anasema anatumia mawakala na teknolojia za mitandaoni zimekuwa chachu ya yeye kufanikiwa katika biashara hiyo ambayo anazalisha bidhaa zote kwa kutumia kiwanda kidogo anachomiliki

baadae aliamua kujikita katika siasa ambayo anafanya hadi sasa kupitia CCM.

Kada amekuwa akifanana na Mbunge wa Segerea Bonna Kamoli kwa muonekano , kimo, umbo na hata wote kuwa wanasiasa wanawake wenye utaalamu wa IT ma wenye ndoto za kuwa Marais wa Tanzania hapo mbele.

Msimdanganye binti wa watu.
 
Afafika mbali as long as ana tako
 
Wenye D moja tumeona pale kwenye Rwanda pamewekewa Red na tushaelewa vizuri tu lakini tukija kwenye uhalisia hivi Uraisi ndio umefikia hatua ya kuwa simple namna hii kweli? Kuna shida pahala wallah bilai watalai miaka hiyo niko secondary wakati tunaulizwa na walimu unataka kuwa nani nikasimama " i want to be a pilot" hata sijamaliza sentensi vizuri tayari mwalimu kashanyanyua mwengine

Kumbe mwalimu aliona hapa hamna cha pilot wala mbuzi wa pilot ,leo hii mtu anakurupuka tu na mtako wake anataka awe Rais hivi Urais umekua rahisi sana hivi? Unajua kuna kauli ukitaka kuongea unaogopa kidogo,

Alafu Ccm kwa tabia yenu ya kupenda chochote kitu itawatokea puani mtakuja kupokea watu kumbe wana ajenda zao ,shenzi taipu
 
Labda anaipractice kivyake si umeskia anasema inamsaidia kwenye kazi zake.
Amesema haja practise miaka 12....IT pana sana kweli hapo anaweza kupiga code kwa C++ au Phython ? Anaweza kufanya Networking Router Configs ......Linux na DBase Oracle etc.....? Huyo alusoma history of IT...nieleweee.....darasani wanasoma definition tu server hujawahi kuiona sembuse config ??
 
Sawa sawa
 
Back
Top Bottom