Ni nani waliuza gesi yetu ya Mtwara?!

Unauliza swali au unauliza jibu ??!!
 
Suzy, angalau tarehe ya bandiko hili Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!
Humo nilisema
Chuma alibadili sheria na kuleta sheria mpya ya madini, sasa kila kinachochimbwa kwenye ardhi ya Tanzania, 16% ya gross ni mali ya Watanzania kupitia free carried shares.
Hivyo sasa gesi ni yetu!.
P
 
Gesi kwaheri in Magu voice !! Duh !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…