MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Katika Mambo tuliyopumbazwa na mabeberu ni kuacha shughuri za uzalishaji na kutegemea kukusanya Kodi Pekee Hilo kosa kubwa Sana na ,tunatakiwa kubadilisha mind set zetu Mambo mengine ni mtambuka siyo Kila kitu sekta binafsi, project ya baharini kuvuna Gesi inagharimu Kama trillion 7 lakini pia tunaweza kupunguza gharama kwa kukodi meli za uvunaji Gesi ,Kwanza sekta hii mtambuka ipewe wizara yake pekee na siyo kuchanganya na umeme.