Hata marekani serikali yao haichimbi gesi, kazi hizo hufanywa na makampuni binafsi.Katika Mambo tuliyopumbazwa na mabeberu ni kuacha shughuri za uzalishaji na kutegemea kukusanya Kodi Pekee Hilo kosa kubwa Sana na ,tunatakiwa kubadilisha mind set zetu Mambo mengine ni mtambuka siyo Kila kitu sekta binafsi, project ya baharini kuvuna Gesi inagharimu Kama trillion 7 lakini pia tunaweza kupunguza gharama kwa kukodi meli za uvunaji Gesi ,Kwanza sekta hii mtambuka ipewe wizara yake pekee na siyo kuchanganya na umeme.
Acha mbwembwe wewe,Nchi sio ya ajabu bali haina teknolojia,wataalamu na pesa ya kuwekeza huko..Katika Mambo tuliyopumbazwa na mabeberu ni kuacha shughuri za uzalishaji na kutegemea kukusanya Kodi Pekee Hilo kosa kubwa Sana na ,tunatakiwa kubadilisha mind set zetu Mambo mengine ni mtambuka siyo Kila kitu sekta binafsi, project ya baharini kuvuna Gesi inagharimu Kama trillion 7 lakini pia tunaweza kupunguza gharama kwa kukodi meli za uvunaji Gesi ,Kwanza sekta hii mtambuka ipewe wizara yake pekee na siyo kuchanganya na umeme.
Zuzu weweMtu hana uelewe wowote wa tasnia ya Mafuta na gesi na namna yanavyoatikana na mbaya zaidi hajawahi kufika hata Songosongo achilia kule MNAZI BAY Mtwara akajua gharama za uendeshaji wa hiyo miradi.
Mtu amekaa tu kwa Shemeji yake, kaona sister wake anapika anadandia Simu ya dada yake huku akisubiri ugali na matembele anapost upumbavu ambao hata hajui ghrama zake.
MPUMBAVU.