Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
๐๐๐Zanzibar
Mkuu mleta mada ikitoa Tanzania nchi gani una uzoefu nao? yaani ulisha kaa kwa mdaMchango wa Tanzania kwa mambo mbali mbali ya kimaendeleo kijamii ni mkubwa sana Afrika
Na Tanzania ni nchi ambayo inawezekana inaongoza kuwapokea raia wa nchi nyingine za Afrika bila ya kuwafanyia Bugudha.
Kwa wale wenye uzowefu wa kutembelea nchi nyingine za Afrika. Ni nchi gani Afrika ambako watanzania hupokelewa kiurafiki?
Ni wapi katika Afrika mtanzania akifika hujisikia kama yupo nyumbani Tanzania?