Ni nchi gani naweza kwenda kusaka kibarua chochote?

Ni nchi gani naweza kwenda kusaka kibarua chochote?

Msimu wakuvuna kwasiku ni elf 5 mpaka 7
Msimu kusafisha maelewano kwaplot
Msimu wakulima ..unakata kata Fukutu kwenye eneo ambalo ng'ombe wanaolimishwa wamepita Mara ya kwanza ..
Mda wakupanda unarusha Mbegu sehem anayopita ng'ombe elfu 5 mpaka saa 7 mwsho hapo unaweza jichanganya nakaz nyngine
Kuna kupiga dawa kama unaweza kila hekari ni elfu 10..
Kutia mbolea kwasiku elfu 5 mpka 7
Kubeba kwajil ya dawa ni elfu 7 kwasiku
..yote yakiisha unakuja msimu wa kulinda ngedere kwamwez ni elfu 70 mpka laki makubaluano mbwa wakutosha wapi..
..hiyo mpaka msimu tena wamavuno...hivyo nimzunguko
Kazi nyingi wafanyakaz wanajisimamia wenyewe
Shukran sana mkuu ila apo kutoboa kumake mtaji ni ngumu
Low wages
Ili kesho tena turud kufanya kaz kwa mabosi
 
Nitakucheki boss
Shamba kukod inaanza elf 30 ..mbegu yamaharage ni elfu 10 kindoo hekari uingia vindoo 6 mpka 7 maximum.. viaz mbegu uanzia 20elfu miez mitatu tu hivyo ukikod unalima mara mbili kuvuna mwez wapili kwenda watatu
Unapenda tends kuvuna mwez wasita
Kuna maeneo mbolea si sana nakama ni mbolea kwamazo hayo hata mfumo mmoja haumalizi

Hapa nilipo saiz tu kilo inakimbia mpka 3400 maharage..huku maind hali sishwari kilo 350 mpka 400
 
Habari za majukumu wakuu,

Najua ngumu watu kukupa njia ya mafinikio ila najua wapo wanaoweza kunipa.

Nimejaribu kutafuta uzi wa kwenda nchi jirani kusaka vibarua ila naona wengi waliuliza tu namna yakufanya biashara uko kumaanisha kuwa wako vizur kiuchumi.

Mi niko tofauti sina changu nilichonacho kwenye nchi hii hadi mifukoni mwangu.

Msaada sasa ni nchi gani naweza enda saka kibarua chochote nikishapata mtaji ndo niwaze ya biashara.

NB. Ntajibu comments zote hata zile mbaya
Kuna jamaa wanaitwa Overseas connect, wapo jengo la psssf, wanaunganisha watu kwenda kufanya kazi nchi kama Poland, australia n. K kazi zao ni unskilled ila kuna gharama za kulipa ambazo utagharamia, viza, ticket na watakupa na accommodation
 
Mkoa gani
Melezo ya kina mkuu japo nauli sina
 
Kweli kabisa! Maana kilimo nacho kina mikakati lazima ujipange kimtaji..e.t.c
Bila mtaj hutoboi
Gharama za mbegu tu hazipungui elf 60 kukod shamba 40 mbole 150k ad apo 250k ishakata na apo kila kitu nimefanya mwenyew kuanzia kulima kupanda kupalilia na kuvuna mavuno gunia 15
Gunia 40k mauzo lak 6
Muda miez 6 je kuna kitu gan utapata apo
 
Unazungumzia zao gani hilo mkuu
Ebu waulize walimao
Mharage
Viazi
Mihogo
Soya
Mpunga
Mbaazi
N.k mahind weka pembeni
 
Back
Top Bottom