Ni nchi gani naweza kwenda kusaka kibarua chochote?

Ni nchi gani naweza kwenda kusaka kibarua chochote?

Kuna jamaa wanaitwa Overseas connect, wapo jengo la psssf, wanaunganisha watu kwenda kufanya kazi nchi kama Poland, australia n. K kazi zao ni unskilled ila kuna gharama za kulipa ambazo utagharamia, viza, ticket na watakupa na accommodation
Mwambie gharama ni 2000USD Kama 5,000,000 tsh
 
Habari za majukumu wakuu,

Najua ngumu watu kukupa njia ya mafinikio ila najua wapo wanaoweza kunipa.

Nimejaribu kutafuta uzi wa kwenda nchi jirani kusaka vibarua ila naona wengi waliuliza tu namna yakufanya biashara uko kumaanisha kuwa wako vizur kiuchumi.

Mi niko tofauti sina changu nilichonacho kwenye nchi hii hadi mifukoni mwangu.

Msaada sasa ni nchi gani naweza enda saka kibarua chochote nikishapata mtaji ndo niwaze ya biashara.

NB. Ntajibu comments zote hata zile mbaya
Kibarua Anza na mazingira yako ulonayo,tenegeneza fursa ktk.mazingira yako hata ikibidi iba ilimradi maisha yaende,usiwe toto.pole.utaumbuka na mengi mkuu
 
Kibarua Anza na mazingira yako ulonayo,tenegeneza fursa ktk.mazingira yako hata ikibidi iba ilimradi maisha yaende,usiwe toto.pole.utaumbuka na mengi mkuu
Bro huwez amin hata saidia fund connection muhimu
Nlienda omba saidia fundi nyumba iko foundation nkaambiwa ntaitwa saiz iko lenta bdo cjaitwa
 
Back
Top Bottom