Ni nchi gani naweza kwenda kusaka kibarua chochote?

Shukran sana mkuu ila apo kutoboa kumake mtaji ni ngumu
Low wages
Ili kesho tena turud kufanya kaz kwa mabosi
 
Nitakucheki boss
 
Kuna jamaa wanaitwa Overseas connect, wapo jengo la psssf, wanaunganisha watu kwenda kufanya kazi nchi kama Poland, australia n. K kazi zao ni unskilled ila kuna gharama za kulipa ambazo utagharamia, viza, ticket na watakupa na accommodation
 
Mkoa gani
Melezo ya kina mkuu japo nauli sina
 
Kweli kabisa! Maana kilimo nacho kina mikakati lazima ujipange kimtaji..e.t.c
Bila mtaj hutoboi
Gharama za mbegu tu hazipungui elf 60 kukod shamba 40 mbole 150k ad apo 250k ishakata na apo kila kitu nimefanya mwenyew kuanzia kulima kupanda kupalilia na kuvuna mavuno gunia 15
Gunia 40k mauzo lak 6
Muda miez 6 je kuna kitu gan utapata apo
 
Unazungumzia zao gani hilo mkuu
Ebu waulize walimao
Mharage
Viazi
Mihogo
Soya
Mpunga
Mbaazi
N.k mahind weka pembeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…