Ni nchi gani naweza kwenda kusaka kibarua chochote?

Kuna jamaa wanaitwa Overseas connect, wapo jengo la psssf, wanaunganisha watu kwenda kufanya kazi nchi kama Poland, australia n. K kazi zao ni unskilled ila kuna gharama za kulipa ambazo utagharamia, viza, ticket na watakupa na accommodation
Mwambie gharama ni 2000USD Kama 5,000,000 tsh
 
Kibarua Anza na mazingira yako ulonayo,tenegeneza fursa ktk.mazingira yako hata ikibidi iba ilimradi maisha yaende,usiwe toto.pole.utaumbuka na mengi mkuu
 
Kibarua Anza na mazingira yako ulonayo,tenegeneza fursa ktk.mazingira yako hata ikibidi iba ilimradi maisha yaende,usiwe toto.pole.utaumbuka na mengi mkuu
Bro huwez amin hata saidia fund connection muhimu
Nlienda omba saidia fundi nyumba iko foundation nkaambiwa ntaitwa saiz iko lenta bdo cjaitwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…