Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Juzi tumeona wingereza waziri mkuu kajiuzuru sio kwa ubaya ila kuliokoa taifa kabla ya kufikia tamati.
Kwa afrika mpaka maamuzi magumu yatumike ndio mnajua mambo ya shakuwa mabaya.
Mfano Zimbabwe pale kama wange muhai mugabe haraka ile nchi isingefikka vile kuporomoka kiuchumi.
Mfano wa pili south Africa kwenye tatizo la uhamiaji mpaka wananchi wanaanza kufanya maamuzi na wao wanaanza kuona kweli basi wamechelewa.
Kwa nchi yetu haya matatizo ambayo CCM inafanya mnataka mwisho wa siku mambo yashakuwa mabaya kabisa ndio mtasema sasa mumegundua kusolve.