Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Mimi nakumbuka kuna siku nimeota nipo stend nasubiri basi ili niende mkoani..sasa nikasemaa ili nisiwasumbue waatu njàni nikaenda kukojoa kabisa ili nikikaa kwenye gari ni moja kwa moja.
Duh! Naamka asubuhi...
Duh! Naamka asubuhi...