Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Katika maisha ya kila siku tunayo yaishi, tunakutana na watu wa aina, asili, itikadi na tabia mbalimbali. Katika hao huwezi kukosa mmoja ambae maneno yake hukera na kukunyima amani. Binafi huwa nashikwa na hasira mtu akinimbia NAFANYA jambo na asifanye...