Ni Neno Gani la Kiingereza lilikupa Tabu kutamka ukiwa Form one

Ni Neno Gani la Kiingereza lilikupa Tabu kutamka ukiwa Form one

Tranquility hili neno lilinipa heshima nikiwa form one assemble...siwezi kusahau...hahaaa tangia pale nikawa naruhusiwa kuazimwa vitabu non academic books kusoma siwezi sahau. Nakumbuka nikiazimwa vitabu viwili vya Ben Carson.. Gifted Hand and Think Big niwe najisomea hahaaaa

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Ulitisha sana
 
2liokuwa 2nasema "shosho" badala ya social 2kutane palepale kwa jana
 
Back
Top Bottom