Ni Neno Gani la Kiingereza lilikupa Tabu kutamka ukiwa Form one

Ni Neno Gani la Kiingereza lilikupa Tabu kutamka ukiwa Form one

martyr, Otorhinolaryngologist na Colonel....hapa najua hata ww unayesoma hapa hakuna hata moja unatamka vizur sasahivi.
 
secondary=nikitamka sekondari badala ya sekandri.
characteristics=nikitamka charaktiristiksi
 
nlipokua primary sister wangu mmoja alinambia soma hapa akawa kaandika "juma nature" nkasoma juma na_tu_re na sio juma necha😀😀😀
 
Back
Top Bottom