Ha ha ha ha shule gani iyo mlkua?kuna jamaa alikuwa anatamka miskalenazi sijui ni wewe?
consequences....[ result or effect]Liandike kwa kiswahl basi
Mwalimu wangu wa ECONOMIC
Ni neno lipi la kiingereza lilikua tabu kwako kutamka kipindi ukiwa form nyoya a.K.A form one
Mimi ilikua ni Characteristics na Archimedes principle
Nathani Characteristics lilikuwa kiboko kwa karibu watu wengi. Nyingine ni photosynthesisKuna lile neno kwenye history wanaita zinjatropaz sijui
Wewe baba wewe!! Shauri yako...! Hili neno limeshawekewa uzio liaitumike hadi Nov.2020.Enterprenuier
Mimi nakumbuka niliwahi kukosesha team yangu points kwenye General Knowledge Quiz kwa kushindwa ku spell "lumbricus terrestris" [emoji23]