Hilo characteristics lilikua nouma sana mkuuNi neno lipi la kiingereza lilikua tabu kwako kutamka kipindi ukiwa form nyoya a.K.A form one
Mimi ilikua ni Characteristics na Archimedes principle
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyo characteristics alikua analeta taabu kiasi Chakua na wasiwasi ukitakiwa kujibu swaliHuyo Achimedes mbna cha mtoto, kisanga huyo mwingne kalastaristiks!
Sent using Jamii Forums mobile app
hata sasa bado linañisumbua eenhe hivyo hivyo
Konsiqwensi[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata sasa bado linañisumbua eenhe hivyo hivyo
Konsiqwensi[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ona sasa 😊😅 konciqwensi is it madam🙆
Sent using Jamii Forums mobile app
"Microscope" niliita "Microsoft"...kwakweli hapo ulimi ulikuwa unateleza sana.Ni neno lipi la kiingereza lilikua tabu kwako kutamka kipindi ukiwa form nyoya a.K.A form one
Mimi ilikua ni Characteristics na Archimedes principle
Mimi huwa natamka Ditamin. Ila wengine hutamka ditamaini ambayo nadhani si sahihiHapa wengi mtabisha ila nina uhakika kuna wengi hapa wenye digirii na mastaz zenu ila mkiwa wakweli wengi hamjui kutamka hili neno kiufasaha.
'DETERMINE'