Ni Neno Gani la Kiingereza lilikupa Tabu kutamka ukiwa Form one

Ni Neno Gani la Kiingereza lilikupa Tabu kutamka ukiwa Form one

Stunted, exercise, gallery, substitution, artificial,

Meengi sana


Halafu Wednesday si inasomwa wenzidei?nimekutana na mtu anaisoma wenesdei
 
Ni neno lipi la kiingereza lilikua tabu kwako kutamka kipindi ukiwa form nyoya a.K.A form one

Mimi ilikua ni Characteristics na Archimedes principle
"Microscope" niliita "Microsoft"...kwakweli hapo ulimi ulikuwa unateleza sana.
 
Hapa wengi mtabisha ila nina uhakika kuna wengi hapa wenye digirii na mastaz zenu ila mkiwa wakweli wengi hamjui kutamka hili neno kiufasaha.

'DETERMINE'
Mimi huwa natamka Ditamin. Ila wengine hutamka ditamaini ambayo nadhani si sahihi
 
Back
Top Bottom