DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Wakuu, kama tunavyojua kila mtu anatoka katika mazingira tofauti na amejifunza Kiingereza kwa namna yake. Je, ni neno gani la Kiingereza ambalo mara nyingi linakupa ugumu kulitaja au kulitamka kwa usahihi? š
Mimi neno linalonipa shida ni āentrepreneurā.
Mimi neno linalonipa shida ni āentrepreneurā.