Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaambiwa mengi na tuwapendao ila lipo neno moja ambalo limewahi kugusa moyo kiasi kwamba si rahisi kusahau!
TIRIRIKENI
Nipo na mke wangu mwaka wa 3 sasa
Kuna siku wakati tumekaa chumbani tukawa tunapiga story za hapa na pale mala tukajikuta tunaongelea juu ya familia yao na mke wangu akawa ananiambia juu ya migogoro kadhaa ya kifamilia ambayo ipo kwao Yalikuwa ni maongezi ya kusikitisha sana lakini kilichonigusa sana mimi ni ile kauli yake ya mwisho aliposema nanukuu "ni wewe tu na wanangu ndio mliobakia hapa duniani mnaonipa faraja na furaha ya maisha"
kauli yake hiyo ilijirudia rudia sana kichwani mwangu na tokea siku hiyo niliamua kuacha michepuko yote kwa kutambua kwamba kama kweli mke wangu ananiona hivyo basi kwakweli sitakiwi kuidhihaki hata kidogo imani hii aliyonayo juu yangu
Nikiwa na mimba ya mwezi mmoja, namtaarifu mwenzangu ya kuwa nimekosa mp mwezi huu nahisi nina mimba. Alinijibu "Sina mpango wa kuwa baba, kwanza ndugu zangu wamenitafutia binti wa kiarabu ana k.u.m.a tamu kushinda yako."
Mungu alinisaidia nikajifungua salama, akiwa na miezi sita na nusu mwanangu anafariki. Mwanangu alikataliwa na babake tokea akiwa tumboni.
Mwanangu Glory may your soul rest in eternal Peace, bado nakupenda Glory ingawa haupo machoni mwangu!!!
Imeniuma sana mkuu, na ndio alikuwa mwanaume wangu wa kwanza, nashindwa kuwaamini tena hawa wanaume ingawa najua si wote. Ila imeniuma zaidi mwanangu tu, namuona nikilala natamani angekuwepo ila Mungu kampenda zaidi.
niliingiza ikawa taight sana nikalazimisha mala ikaingia pyuu,kwa mshtuko akauliza bae are you sure nikajibu kimahaba yaa baby akaulizatena this time kwa kukaripa kidogo unauhakikaaa??? Nikajibu tena yaah baby,hapo nikajiwazisha kdg kwan vp,ile kupeleleza tobaa kumbe nimeingiza wrong way dah nikajivuta taratibu kwa aibu......naona iishie tu hapo...nb.You Dont Want this..
Mpenzi wangu, kuja useme maneno huku......
Wow .. seriously. Love dear you know it sometimes I'm shy. Anyway.. There are so many words to say but one word touched me was the day you told me that the day I will leave Jesus Christ that the day our future marriage will be over on the spot.( you were serious). You might not knowing that by saying that it changed everything about us and my family. I just want to say Thank you for recognize all gifts, talents and calling that the Lord put in me.. I thank you for your loving supports that you have been given to me when it comes for Jesus.. I thank you for understanding my relationship with Jehovah and respect it not all men are like you , love.. The freedom you have been given to me to do the work of God and support me to do what I love..its amazing and that makes me to love you more everyday.. My prayer is God to plant the same gifts in you or more than that and because he started the work let's believe and Trust in Him that He will finish the work He started in the mighty name of Jesus .. Amen.. I love you and remember Jesus loves you more .. Thanks..
If you could only see whats on my mind,
It would be like youre looking at your own photo album.
Thanks....
Dear Love only our hearts and souls can speak on our behalf and God can establish it . If we keep relay on Him nothing is impossible for those who believe in Him.. Let's connect with God spirit and everything shall be well in Jesus might name, Amen.. Remember there is the Power in the name of Jesus and Nothing but the Blood of Jesus.. He who greater in us is greater than the world, Amen.. Let's move forward and one day every dreams shall come to pass and become in to reality .. Love you... Thanks..