Wazo Langu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 1,381
- 842
Siku nikigundua umenisaliti nitaku.f.i.ra nikupasue nnnya. Yani nilivyoagana nae pale ikawa ndio mwisho wetu. Kila nikimfikiriaga nahisi nilikua na muuaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vema ikiwa ulichokiandika kikawa cha kweli.nliachana na manzi angu akanambia nimekuchoka mwanaume gani una shati moja*** enzi nasoma chuo nlikua na kashati kangu nakapenda sana so kila nkikutana naye nimekapiga siku tunaachana alinichana ili niuma ila coz ni ukwel ilibid nikae kimya juzi nliamua kumtembelea kwao na V8 alishangaa sana
Pole sana!Je umekwishapata mwingine?Siku nikigundua umenisaliti nitaku.f.i.ra nikupasue nnnya. Yani nilivyoagana nae pale ikawa ndio mwisho wetu. Kila nikimfikiriaga nahisi nilikua na muuaji.
ni kwel boss ila v8 sio langu nlienda tu kumringishia me namiliki boxer bm150 na ka opa kabiashara tuNi vema ikiwa ulichokiandika kikawa cha kweli.
Kama mwanafunzi/sio mkeo lazima uugue"mwezi uliopita sijaona siku zangu" hii sms ilinichanganya xana!