Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

Hakunaa,

Wala hata simkumbuki ng'o
 
Bila wewe siwezi kuishi wewe ndio punzi yangu bora nife kuliko kukukosa cha ajabu akaenda kuolewa na millionaire ( siyo wa madafu wa $$$$) na hakufa yuko anaishi[/QUOT

Daaah!!Binadamu hawana wema
 
yangu mazito jamani nahc ntajaza ukurasa
 
Reactions: SDG
"sikupendi wala sikutaki"....

huyo alikuwa ex wangu, kiliniuma saaana but nikasepa, nilitema mate chini nikasema sitaweza kumrudia yule mazafanta. miezi miwili baadaye akataka turudiane, nilimshangaa sana ila msimamo wangu ni ule ule.
 
"najua unavyonipenda na unavyohitaji kuishi na mimi ila naona nitakusumbua sana maanake sijamaliza starehe za ujana" he stopped there and hug me with tears on his cheeks...angejua ninavyompenda angerudi hata for a single day.
 
siku 1 mpe aisome
 
alikuwa anakushughulikia vizuri lakini?
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…