Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila wewe siwezi kuishi wewe ndio punzi yangu bora nife kuliko kukukosa cha ajabu akaenda kuolewa na millionaire ( siyo wa madafu wa $$$$) na hakufa yuko anaishi[/QUOT
Daaah!!Binadamu hawana wema
Ukiniacha sioi milele
mimi sijapendwa،mpaka،sasa!
Cc.. Heaven on Earth, DEMBA, shansarie,
Madame B, Evelyn Salt، mwallu، Chocs،
jamani naombeni mnitafutie mke humu!
Mkuu hata namie sitosahau lool
"tatizo lako huja soma" yaani kanizidi kielimu.
Hahahaaha HOE unachekesha sana."Hivi huoni wanaume wengine huko....au Mwanaume ni mimi peke yangu"
Siku niliyomuacha ndio alishangaa kujua ka mwanaume ni yeye tu ama kuna wengine
so touching and painfull
"siwezi gombana na wazazi wangu kwa ajiri yako,kama mapenzi yaishie hapo,natumaini nimetumia kiswahili kinachoeleweka
wako......"
hiyo ilikuwa aya ya mwisho ya barua yake tukiwa form 4
but she iz my wife now and tunamtotom1 ile barua cjaichana nimeiweka hadi kesho
mimi sijapendwa،mpaka،sasa!
Cc.. Heaven on Earth, DEMBA, shansarie,
Madame B, Evelyn Salt، mwallu، Chocs،
jamani naombeni mnitafutie mke humu!
weka cv yako, na mwanamke unaemtaka unatakaaweje
"najua unavyonipenda na unavyohitaji kuishi na mimi ila naona nitakusumbua sana maanake sijamaliza starehe za ujana" he stopped there and hug me with tears on his cheeks...angejua ninavyompenda angerudi hata for a single day.