Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

Sitasahau alikuwa ni X wangu lakini aliugua akanipigia simu halafu akaniambia " mimi ntakufa lakini tambua NAKUPENDA SANA" dah huwa nikikumbuka hadi chozi linasogea kwenye macho maana siku tatu baada ya kuongea nae alifariki kweli.
Daah hii inauma
 
honey, ukiishiwa hela au ukapoteza kibarua, itabidi unisamehe tu, kwani huwa sipati nyege nikiwa na mwanaume ambaye hana kitu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: SDG
1. nimemaliza tu kum do akaanza kulia nikahamaki nini tatizo, what have I done wrong? Akaniambia "i know you have got what you wanted, na utaniacha" Dah it touched me and I proved her wrong, yeye ndio akaja kucheat!

2. Huyu mwingine ilinibidi nicheke sana. Nilimpelekea moto akacum then nikawa naendelea hehehe 5 mins into the game ananipiga na kulia "darling naomba usimfanye hivi mtu mwingine pleeeease nyamgluu"
Hahahaha. Game ikasimama maana nilicheka sana kuona demu anawivu kiasi kile!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]umetishaaa ulimfanyia nin etii
 
  • Thanks
Reactions: SDG
DAAAAA
KILA SIKU NAKUMBUKA TULIVYOKUWA TUNADANGANYA NA UPOFU WA MAPENZI ENZI HIZO SECONDARY ALIKUWA AKINAMBIA IF I DIE SHE WILL DIE TOO NA SIKU TUKIACHANA ATAJIUA, NASHANGAA TUMEKUJA KUACHANA NA BADO ANAENDELEA KUISHI
 
Sitasahau alikuwa ni X wangu lakini aliugua akanipigia simu halafu akaniambia " mimi ntakufa lakini tambua NAKUPENDA SANA" dah huwa nikikumbuka hadi chozi linasogea kwenye macho maana siku tatu baada ya kuongea nae alifariki kweli.
Polee sana aliumwa nn?
 
"the way navo kupenda cnt explain nacho subiri ni mm kuamka asubh nakuona pembeni yangu mekukumbatia"kilichofata badae siri yangu

Mwngine "Wat goes around comes around"hii kauli inanitafuna mpk leo cjawah pata demu ila nna mashemeji wa kubafu *****
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom