Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

1.Sitakuacha love,labda uniache wewe (nikimkumbuka hadi chozi linanshuka)
2.I love looking at u all the time,i have finally met my baby's mama'...(biggest liar of all times)

Hiyo ya kwanza alikuacha yeye ama ulimuacha wewe ?🙂
 
ie sitaki hata kusema maana yote ni ma urongo ...huwa ni marudio tu unapokuwa mapenzini
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mi nliambiwa bby nataka chipsi za Survey afu iyo saa 7 ya usiku nipo hall1.
Ila kwa ile miuno ya pakachongo mbona nlimletea.
Ila iliniuma!!!!Sitosahau!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Extension
 
Sitasahau alikuwa ni X wangu lakini aliugua akanipigia simu halafu akaniambia " mimi ntakufa lakini tambua NAKUPENDA SANA" dah huwa nikikumbuka hadi chozi linasogea kwenye macho maana siku tatu baada ya kuongea nae alifariki kweli.
Dah umeniliza mkuu so sad kifo hiki khaaaaa
 
nliambiwa ukiniona tena nione kma picha
IMG_-2tep13.jpg
 
"Ndio ni kweli naishi nae" nilikuwa na mimba ya miezi 7... Nilitaka kuzaa na baadae kufa!
 
She told me this" if i have to choose between breathing and loving you,i would use my last breath to tell you i love you", it was poetic but it truly came from her heart, i still remember her,may her soul rest in peace.
Dah so sad mkuu pole sana kwa wakati mgumu uliopitia jamani kifo kiacheni tu kinaumizaaa
 
aliniambia Siku atakayonikuta na duu mwingine angemloga awe chizi
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Duh....pole sana emmy2ny, mi aliniambia anatupenda sana mimi na mtoto wake na kwamba yupo kwaajili yetu. Atatulea kwa kadri atakavyoweza ilmradi tuwe na furaha.
Nusu saa baadae nikaambiwa amefariki kwa ajali ya gari,kwakweli mpk sasa naona km Mungu amenionea sana maana dream zote zimekata ghafla. Nikikumbuka nalia sana, May his soul rest in peace!!!
Dah jamani mbona the world is not fair uzi huu unanliza kwa kweli pole mami
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom