Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

"Umepangiwa chuo kikuu cha DSM? Najua tu utaenda kupata wanawake wengine na kunisahau mimi! Maana wanawake wa huko chuoni nasikia wanawatongoza wanaume.....mimi nafikiri huu ndio mwisho wetu!" Kaa mbali na mimi MA.........nakuchukia! Nakuchukia sana!
Akaanza kulia lia pale na kuanza kuondoka mdogo mdogo.........jamani ukimtoa mtoto wa mtu usichana kuna ufungamano ambao huwa haupotei kirahisi.
 
bado unaendelea mfungamano wenu hadi sasa ?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Its Over, huna hadhi ya kuwa na mtu kama mimi
_20170425_185147.JPG
 
"Umepangiwa chuo kikuu cha DSM? Najua tu utaenda kupata wanawake wengine na kunisahau mimi! Maana wanawake wa huko chuoni nasikia wanawatongoza wanaume.....mimi nafikiri huu ndio mwisho wetu!" Kaa mbali na mimi MA.........nakuchukia! Nakuchukia sana!
Akaanza kulia lia pale na kuanza kuondoka mdogo mdogo.........jamani ukimtoa mtoto wa mtu usichana kuna ufungamano ambao huwa haupotei kirahisi.
Na kuna.watu hapa JF wamemiminwa na WALIOWABIKIRI.
Haina formula
 
We kazi yako kununua magari tu ya kifahari nyumba hutaki kumalizia mbuzi ew
 
Aliniambia "Mimi sio samaki pekee baharini"

Hii kauli ilinifungua akili aseee na kunifanya niwe napiga dushe nasepa
 
Sina mpango wa kukuoa.... na wala sina mpango wa kuoa kwaio ukipata mtu fresh endelea nae’’

Yalikua maneno machungu sana ila nilimwonesha kua nampenda leo hii ni MUme wangu official
 
Back
Top Bottom