DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Daaaaani kwel boss ila v8 sio langu nlienda tu kumringishia me namiliki boxer bm150 na ka opa kabiashara tu
we kiboko aiseee ila sio yule kiboko wa mtoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaaani kwel boss ila v8 sio langu nlienda tu kumringishia me namiliki boxer bm150 na ka opa kabiashara tu
Elimu BILA MALIPOa just like it as he is teaching while handling a bottle of bear
bado unaendelea mfungamano wenu hadi sasa ?"Umepangiwa chuo kikuu cha DSM? Najua tu utaenda kupata wanawake wengine na kunisahau mimi! Maana wanawake wa huko chuoni nasikia wanawatongoza wanaume.....mimi nafikiri huu ndio mwisho wetu!" Kaa mbali na mimi MA.........nakuchukia! Nakuchukia sana!
Akaanza kulia lia pale na kuanza kuondoka mdogo mdogo.........jamani ukimtoa mtoto wa mtu usichana kuna ufungamano ambao huwa haupotei kirahisi.
Its Over, huna hadhi ya kuwa na mtu kama mimi
Na kuna.watu hapa JF wamemiminwa na WALIOWABIKIRI."Umepangiwa chuo kikuu cha DSM? Najua tu utaenda kupata wanawake wengine na kunisahau mimi! Maana wanawake wa huko chuoni nasikia wanawatongoza wanaume.....mimi nafikiri huu ndio mwisho wetu!" Kaa mbali na mimi MA.........nakuchukia! Nakuchukia sana!
Akaanza kulia lia pale na kuanza kuondoka mdogo mdogo.........jamani ukimtoa mtoto wa mtu usichana kuna ufungamano ambao huwa haupotei kirahisi.
Eeeeh! Jasiri haachi asilibado unaendelea mfungamano wenu hadi sasa ?
hilo liliumiza kweli..samahani mkuu'Nakualika kwenye harus yangu'
Mtu wako anapokualika kwenye harus yake maana yake amshakumwaga anaenda kuolewa.Inaumizahilo liliumiza kweli..samahani mkuu
pole kaka..yani mengine yanauma.ukidhani wote mpo kumbe keshakupiga friendzone"Kwan Mimi na wewe tulikua wapenzi"
samahani kaka...mengine hutuachia makovu yasosahaurika moyoni..mapenzi magumu!!I will never forget this words from the my x
Sorry I am in love with your young brother
pole sana..hilo bayaAlinambia nna ufinyu wa mawazo
sitasahau... na nina kinyongo mpaka keshokutwa
asanteepole sana..hilo baya
natamani kukupa like kama kumi, ila siweziunavyowahi kukojoa hivyo unanihudhi...jamani....
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ......natamani kukupa like kama kumi, ila siwezi
[emoji4] [emoji4]Aliniambia "Mimi sio samaki pekee baharini"
Hii kauli ilinifungua akili aseee na kunifanya niwe napiga dushe nasepa