Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
kuna jamaa yangu alimwambia manziake kwamba hana tofauti na dude wa bongo movie... jamani!!
sijui lilimuuma ??
sijui lilimuuma ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Its Over, huna hadhi ya kuwa na mtu kama mimi
pole sana[/QUOT
Thank u!
inasikitisha pole sana
Sitasahau nilikutana na mdada wa haja mwanza,kaumbwa kaumbika, nikapiga story mambo yakawa mambo Kule mza hatukudu tukapanga aje dar, mwanaume nikamkatia tiketi ya ndege kwenda na kurudi, siku ya siku katia timu dar nikampokea kwa mbwembwe na wapambe kibao,hotel ya hadhi tukaingia,baada ya mambo ya hapa na pale ikafika muda muafaka, dah!eti naambiwa fanya haraka nilale katulia tuli kama gogo nilishindwa kuendelea nikabaki kujutia gharama zangu.
ayaaaa
usingewaita bwana
thanks, ila siku hizi utakuwa makini sana na sisi wanaume,
She told me this" if i have to choose between breathing and loving you,i would use my last breath to tell you i love you", it was poetic but it truly came from her heart, i still remember her,may her soul rest in peace.
Hafadhali hata hiyo wewe ulimwaga wazungu japo haukupata ushirikiano ingekuwaje,? kama angekuambia kaingia period ghafura ebu nambie?
Sitasahau alikuwa ni X wangu lakini aliugua akanipigia simu halafu akaniambia " mimi ntakufa lakini tambua NAKUPENDA SANA" dah huwa nikikumbuka hadi chozi linasogea kwenye macho maana siku tatu baada ya kuongea nae alifariki kweli.
Ulivyoni-do sijaridhika
:A S-heart-2::A S-heart-2::A
S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A
S-heart-2::A S-heart-2: has no single ownership.. even you you have the
right to fall..
Dushelele lako lingeongezeka kidogo ungefanana na jamaa yangu yule uliyenikuta naye siku ile pale mjini:embarassed2:
nilijifanya mzungu saana mara ghafla akaniambia "ingiza basi" duh nitasahauje hile momento!!!