Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

haah wacha uwongo!

Sio uongo, nilisafiri from mwanza to dar kwa ajili yake
Kanikeshea, mchana nimejilaza zangu nimechoka anataka tena nkawa najivuta vuta
akanambia "sepa huko" japo na kudeka pia ila iliniuma
nililia kama masaa mawili niambe tena mi muongo nimtaje jina hapa ha ha ha
 
Sjui kwanini bado siamini.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Naomba tu uhusiano wetu iwe mwisho kama imepangwa mm na ww tuwe pamoja basi itakua na kama haijapangwa basi haiwezi kuwa hata iweje coz tutakua kila siku tunagombana.. Dah iliniuma but nikasema poa lazima maisha yaendee tu no way out.. Hatimaye nilifanikiwa kumsahau nikarudi enzi zangu za uplayer nikipata mtoto mzuri nipo nae mpaka leo na tuna furaha tele ni mzuri kuliko yeye baada ya miezi kazaa eti anaomba turudiane..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: SDG
"Ibrah usipende sana kiasi hicho,UTAUMIAA!!"Alikuwa mchaga ndugu yake miss chagga! ALINIACHA &IT PAINED ME A LOT"
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom