Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
mbona sijaona neno lakp?
neno neno muhimu ES......
Kama vile sijakuelewa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona sijaona neno lakp?
neno neno muhimu ES......
Kama vile sijakuelewa....
Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?
Nilikuwa nasubiri wew useme nami ndo niseme
nkashangaa ukazuga na stori za kahawa ukasepa
hata kama ni nyingi wewe yaseme tu..............
"Sepa huko" nikaanza kulia
"Sepa huko" nikaanza kulia
haah wacha uwongo!
ha ha ha ha!!!!!!!!!!!!
you cant be serious.
Sio uongo, nilisafiri from mwanza to dar kwa ajili yake
Kanikeshea, mchana nimejilaza zangu nimechoka anataka tena nkawa najivuta vuta
akanambia "sepa huko" japo na kudeka pia ila iliniuma
nililia kama masaa mawili niambe tena mi muongo nimtaje jina hapa ha ha ha
Sjui kwanini bado siamini.
am very serious, sitasahau!!!
pole sana........yote maisha ujue
yangu mazito jamani nahc ntajaza ukurasa
alikuwa anakushughulikia vizuri lakini?