Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

it is un4getabo day "bebi usinipende sana ntakuumiza mi m.a.l.a.y.a sana bt thanks kwa kunipa bikra yako hvi umeniamini nini hata ukanipa dah!hadi naona aibu yani ujue nlihisi unanidanganya kumbe kweli! pole kwa kunipa nisiestahil na höngera kwa ku2nza."
 
fareb njoo ujibu hapa
baada ya hapo takuweka kwenye maombi..ila tu,usiwe heartbreaker
mke mi ntakutafutia lakini ningependa kufahamu yafuatayo ili kazi yangu iwe rahisi
i) elimu yako
ii) kazi yako
iii) kipato chako kwa mwaka
iv) mali unazomiliki mf nyumba ngapi, magari mangapi, na asset zingine
 
Last edited by a moderator:
kwani ulinikuta bikra wewe...usinibabaishe hata mie nnakwetu hukunikuta barabarani
 
  • Thanks
Reactions: SDG
baada ya ugomvi usioisha, nilimwambia naomba tuachane, simtaki tena.. akakaa kimya, baadae akasimamisha gari katikati ya barabara ya kwenda mkoani (main road), akasema sasa hapa tusubiri fuso lije litugonge, tufe wote tu. kwa kuogopa kufa ilibidi niwe mplole, na nifute kauli yangu

hahahahaaa
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Nipo na mke wangu mwaka wa 3 sasa
Kuna siku wakati tumekaa chumbani tukawa tunapiga story za hapa na pale mala tukajikuta tunaongelea juu ya familia yao na mke wangu akawa ananiambia juu ya migogoro kadhaa ya kifamilia ambayo ipo kwao Yalikuwa ni maongezi ya kusikitisha sana lakini kilichonigusa sana mimi ni ile kauli yake ya mwisho aliposema nanukuu "ni wewe tu na wanangu ndio mliobakia hapa duniani mnaonipa faraja na furaha ya maisha"
kauli yake hiyo ilijirudia rudia sana kichwani mwangu na tokea siku hiyo niliamua kuacha michepuko yote kwa kutambua kwamba kama kweli mke wangu ananiona hivyo basi kwakweli sitakiwi kuidhihaki hata kidogo imani hii aliyonayo juu yangu

Dah! Imenigusa Hii Kinoma Yani
 
it is un4getabo day "bebi usinipende sana ntakuumiza mi m.a.l.a.y.a sana bt thanks kwa kunipa bikra yako hvi umeniamini nini hata ukanipa dah!hadi naona aibu yani ujue nlihisi unanidanganya kumbe kweli! pole kwa kunipa nisiestahil na höngera kwa ku2nza."

duh, uliendelea na huyo mtu kweli? huwa nawashangaa sana wanaowakumbuka waliyoitoa hiyo kitu kwa mara ya kwanza... hata mimi ilitolewa na wrong person ambaye sitaki hata kuzijua habari zake
 
'deo najua nitakuwa mbali na wewe na wanaume hamuwezi vumilia,kama unaweza tafuta msichana mzuri kuliko mimi akuliwaze,ila usinsahau na nikirudi rudisha mapenzi kwangu,nakupenda sitokusaliti'hata hamu ya kuchepuka sina.i love u my mariamu!
 
duh, uliendelea na huyo mtu kweli? huwa nawashangaa sana wanaowakumbuka waliyoitoa hiyo kitu kwa mara ya kwanza... hata mimi ilitolewa na wrong person ambaye sitaki hata kuzijua habari zake
ah!wap sikuendelea nae mumy aafu ajabu ye ndo alikuja kufall vibaya sema si unajua tabia ni kama ngozi nlimwacha huku nacheka mpaka leo haamini yani ni anaomba radhi eti ulikua utoto!!by the way usijali bhana sometimes kukosea ndo kujifunza.
 
Nyie wote wachangiaji mmeachwa zamani?Hakuna aliye achwa recently?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
'deo najua nitakuwa mbali na wewe na wanaume hamuwezi vumilia,kama unaweza tafuta msichana mzuri kuliko mimi akuliwaze,ila usinsahau na nikirudi rudisha mapenzi kwangu,nakupenda sitokusaliti'hata hamu ya kuchepuka sina.i love u my mariamu!

schoolmate upo mzima lakin
 
  • Thanks
Reactions: SDG
mimi huwa ananiambia na anarudia mara kwa mara kua anamuomba MUNGU atangulie yy kufa..maana nikitangua mimi cjui atafanya nn kwenye hii dunia...huwa lina ni touch sana..hasa nikiwa juu yake namzungushia kiuno changu cha kitanga huwa anatoa machozi na kulirudia hilo neno...huwa akianza kusema tu namziba mdomo kwa kiss
 
ha ha ha ha ha ha........
 
Back
Top Bottom