Ni ngoma mpya kutoka kwa Dulla Makabila kabadili mwonekano wa sura

Ni ngoma mpya kutoka kwa Dulla Makabila kabadili mwonekano wa sura

exalioth

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
2,263
Reaction score
3,897
Ningekua demu: wimbo mpya kugoka kwa mwimbaji wa singeli Dulla Makabila

Kaja na mwonekano mpya sura tufauti kawapiga chini mpaka madada wanaoshinda wanajipodoa.
FB_IMG_1581342542855.jpeg
FB_IMG_1581342577429.jpeg
FB_IMG_1581342829558.jpeg
FB_IMG_1581342905993.jpeg


Exalioth
Machinga
Jamii forums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali ngumu pesa hakuna

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ndio solution,kisa pesa hakuna.

Haya ila hakuna kitu chenye thamani kwa mwanaume na kinatakiwa kulindwa kwa nguvu na akili zote kama marinda.

Kijana anapoelekea sio kuzuri hata kama kiki ila hii............ sio,watu sasa hivi wanaanza kuhoji marinda yake yapo salama.
 
Mbona joti anajibadilisha na kujiweka muonekano wa kike mbona hamtoki mapovu? Iweje kwa dulla makabila yeye kutengeneza muonekano kutokana na wimbo wake unahusiana na hivyo na ni moja ya ubunifu wa Sanaa yake.Ingekuwa kafanya hivyo bila sababu ya msingi hata me ningemshangaa lakini hili tu dogo mtu anatoka povu utazani mke mke wake kabakwa.
 
Back
Top Bottom