Ni ngoma mpya kutoka kwa Dulla Makabila kabadili mwonekano wa sura

Ni ngoma mpya kutoka kwa Dulla Makabila kabadili mwonekano wa sura

Kwa hiyo ndio solution,kisa pesa hakuna.

Haya ila hakuna kitu chenye thamani kwa mwanaume na kinatakiwa kulindwa kwa nguvu na akili zote kama marinda.

Kijana anapoelekea sio kuzuri hata kama kiki ila hii............ sio,watu sasa hivi wanaanza kuhoji marinda yake yapo salama.
Kwakwel hawa wasanii wetu ni vichekesho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwaio kurudi kiupya hadi utumie namna hii

Tuombe uhai tu tutaona mengi ya ajabu ipo siku atakuja na video akiwa anapigwa nyuma

Exalioth
Machinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona joti anajibadilisha na kujiweka muonekano wa kike mbona hamtoki mapovu? Iweje kwa dulla makabila yeye kutengeneza muonekano kutokana na wimbo wake unahusiana na hivyo na ni moja ya ubunifu wa Sanaa yake.Ingekuwa kafanya hivyo bila sababu ya msingi hata me ningemshangaa lakini hili tu dogo mtu anatoka povu utazani mke mke wake kabakwa.
Unadhani wabongo wanaelewa basi iyo kitu iyo kitu ni kwa ajili ya cover ya nyimbo tu ila wabongo wanachukulia kama vile sijui namna gani kuongea ongea tu bila kupambanua mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona joti anajibadilisha na kujiweka muonekano wa kike mbona hamtoki mapovu? Iweje kwa dulla makabila yeye kutengeneza muonekano kutokana na wimbo wake unahusiana na hivyo na ni moja ya ubunifu wa Sanaa yake.Ingekuwa kafanya hivyo bila sababu ya msingi hata me ningemshangaa lakini hili tu dogo mtu anatoka povu utazani mke mke wake kabakwa.

Hamna anaeshangaa Comment yako maana wakina Juma Lokole ndio michezo yao hio.
 
Back
Top Bottom