Kwakwel hawa wasanii wetu ni vichekesho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwaio kurudi kiupya hadi utumie namna hiiKwa hiyo ndio solution,kisa pesa hakuna.
Haya ila hakuna kitu chenye thamani kwa mwanaume na kinatakiwa kulindwa kwa nguvu na akili zote kama marinda.
Kijana anapoelekea sio kuzuri hata kama kiki ila hii............ sio,watu sasa hivi wanaanza kuhoji marinda yake yapo salama.
Pindi naishi makuburi karibu nakanisani! Hapo ndo ilikuwa mitaa yangu yangu, kila weekend nilikuwa najidai halo
Dah aisee sio kwa jibu ilo mujarabu umeifanya siku yangu kuwa siku
micasa ndo sipapendi mno na sijawahi kwenda.Pindi naishi makuburi karibu nakanisani! Hapo ndo ilikuwa mitaa yangu yangu, kila weekend nilikuwa najidai halo
Natumai mida hii utakuwa umehamia micasa
Kanoga kuliko hata avi yako. 😅
Raha ya bata, ule sehemu tofauti tofauti. Haha samaki samaki hupachoki tu na pale si kuna makelele tu kama micasamicasa ndo sipapendi mno na sijawahi kwenda.
najuta hata kwanini nmeenda london bora ningeenda Samaki Samaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani wabongo wanaelewa basi iyo kitu iyo kitu ni kwa ajili ya cover ya nyimbo tu ila wabongo wanachukulia kama vile sijui namna gani kuongea ongea tu bila kupambanua mamboMbona joti anajibadilisha na kujiweka muonekano wa kike mbona hamtoki mapovu? Iweje kwa dulla makabila yeye kutengeneza muonekano kutokana na wimbo wake unahusiana na hivyo na ni moja ya ubunifu wa Sanaa yake.Ingekuwa kafanya hivyo bila sababu ya msingi hata me ningemshangaa lakini hili tu dogo mtu anatoka povu utazani mke mke wake kabakwa.
Mbona joti anajibadilisha na kujiweka muonekano wa kike mbona hamtoki mapovu? Iweje kwa dulla makabila yeye kutengeneza muonekano kutokana na wimbo wake unahusiana na hivyo na ni moja ya ubunifu wa Sanaa yake.Ingekuwa kafanya hivyo bila sababu ya msingi hata me ningemshangaa lakini hili tu dogo mtu anatoka povu utazani mke mke wake kabakwa.
Kwa hiyo joti nae anapumuliwa?Hamna anaeshangaa Comment yako maana wakina Juma Lokole ndio michezo yao hio.
Inagoma kuiwekaOya tuwekee iyo nyimbo habari za kuleta uzi bila kibwagizo sio ishu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapo ujinga wake ni upi?