Ni ngoma mpya kutoka kwa Dulla Makabila kabadili mwonekano wa sura

Huyu Anachakatwa Naona anatangaza soko kwa Njia hii
 
Hii nchi ina watu wa Pumbavu,wajinga,na wa Hovyo sana na watu kama hawa ndio mtaji mkubwa wa CCM.
Akianza kubana chocho apige watu ngeta utaanza tena ooh wasanii wa bongo maskini bla bla blah hawana pesa maringo sijui ujuaji. Wakimtafuna atajua mwenyewe acha apambanie ugali wake vyovyote anavyoona inamfaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…