NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Ili tuondoe uchawa na kutokomeza ubwanyeye was fikra!
Siasa inatakiwa ifanywe kuwa KAZI ya kawaida isiyo na malipo makubwa kama Sasa Bali utaalamunna professionalism za usomi wenye mantiki!!
Mapesa ya kwenye siasa yanaharibu kabisa vijana was taifa letu,badala ya kutumia elimu alosomea mtu anaona elimu Haina maana coz hailipi!matokeo anaamua kuwa chawa mtu ili apate teuzi na teuzi ni chache sana kulinganisha na idadi ya watu nchini!!
Us siasa iwe KAZI ya kawaida tuwe na taifa lenye mawazo msawazo!!