Hata makaburu walikuwa na majeshi na kila kitu na waliua sana watu, ila wakati ulipofika, yaliwashinda.Ni mjinga pekee ata zani skauti wa Jw wako upande wa wananchi. wote tume jionea wao ndo wame weka Road block kuzuia watu wasipite una wezaje kusema ni wa wananchi
Polisi, Tiss na Jw wote ni majeshi ya CCM na serikali yake hamuwezi shinda kwa namna yoyote ile
Wahuni ni wale wanaopora uchaguzi na kuitangazia dunia kuwa wameshinda kwa asilimia 97 kumbe ni majizi ya kura.Kwa ufupi wahuni lazima waminywe vizuri.
Kama JESHI litawaunga mkono washenzi hilo si jeshi bali ni kikosi cha majangiri
Na ndio maana hawana amani kwasababu wanajua wako madarakani kwa nguvu ya dola.Ile tu chura kiziwi kujijua kwamba yuko pale kwa nguvu ya mtutu wa bunduki inatosha
Ni kwasababu akili yako inashia ilipoishia pua yakoNiliandika uzi juu ya hili,huwezi angusha serikali ambayo ina back up ya vyombo vya ulinzi na usalama
Vijana wakisha kunywa visungura wanajikuta ni M23
Acheni ujinga,muda wa drama zenu umeisha tufanye Kazi sasaNi kwasababu akili yako inashia ilipoishia pua yako
Ni kwasababu akili yako inashia ilipoishia pua yaNiliandika uzi juu ya hili,huwezi angusha serikali ambayo ina back up ya vyombo vya ulinzi na usalama
Vijana wakisha kunywa visungura wanajikuta ni M23
yaani wewe mpumbavu ni wakunifundisha mimi nini cha kufanya wakati wewe ni mtu wakutegemea makombo ya wanyonyaji la wananchi wa chi hii mimi sikulelewa kuwa tegamezi wala kuabudu mwanadamu mwenzangu asiye na akilAcheni ujinga,muda wa drama zenu umeisha tufanye Kazi sasa
Kikubwa muache ujinga,muda wa drama umeishaNi kwasababu akili yako inashia ilipoishia pua ya
yaani wewe mpumbavu ni wakunifundisha mimi nini cha kufanya wakati wewe ni mtu wakutegemea makombo ya wanyonyaji la wananchi wa chi hii mimi sikulelewa kuwa tegamezi wala kuabudu mwanadamu mwenzangu asiye na akil
Hongereni sana👋Haya jana mmeshindwa kufanya unyumbu wenu wa kuiba mali za watu na kuharibu, jaribuni na leo sasa nyumbu nyie
Keyboard warrior.Hapana ndugu.
Serikali dhalimu lazima ianguke.
1. Nikukumbushe serikali ya Tanzania ni hohehahe wa kutupwa.
2. Hizo biti zote za jw hawana resources zakukaa on alert hata kwa miezi 7. Kifupi mi jeshi choka mbaya ukiangalia kwa upana.
3. Kupiga raia mmoja mmoja hiyo wanaweza, lakini kama asilimia 15 tu ya raia wakashika fire, hao askari watakimbia wakiwa wamevua gwanda.
4. Oppressive government hata kama inamiliki nyuklia kamwe haiwezi kushinda wananchi wenye nchi. Kinachokuletea hasira ni vile unaona tunachelewa.
5. Usivunjike moyo mkuu, hii ni war. Ndiyo kwanza tupo kwenye battle ya kwanza.