Ni ngumu sana ku-enjoy Dodoma kama umepazoea Dar

Chance ndoto

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2017
Posts
4,621
Reaction score
10,847
Starehe ni sehemu ya maisha naomba nisinukuliwe popote pale vibaya kutokana na thread hii na maisha yangu ndani ya JF, Nimefunga safari kuingia dodoma, lengo ni kula maisha, kuenjoy, kufanya starehe.

Ni ngumu sana kuenjoy hapa dodoma, Bar zimekaa kiuchovu sana, Sijui shida ni hali ya hewa ya ubaridi au ni nini haswa.

Nimezunguka bar 13 pendwa hakuna kitu. Au starehe ni za msimu. Nimeingia mapema sana kutafuta pozi ila wapi, toka saa saba mchana mpaka saa tano na nusu hii, sijaona cha maana. Hili ni jiji la siasa haswa na kazi, kweli haya ni makao makuu ya serikali, nimeingia bar zilizonyingi watu wamekaa kwenye stuli au makochi sijui na familia zao au watu wao wa karibu, i came alone, i am alone, naondoka usiku huu, naelekea Morogoro. Dar sasahivi ningekua nimemaliza captain morgan tatu.
 
Dodoma ni mji wa wafanyakazi wa Serikali,mipango ya Nchi yote kuanzia wewe utakavyopumua Leo,kula,kuvaa kusafiri kutibiwa ,utakavyofanya tekelez majukumu yako mpaka utakapoenda kaburini inapangwa hapo.
Starehe sio kipaumbele kwa wafanyakzai wa umma,na ni mwiko kwa mfanyakazi wa umma kuonekana sehemu za starehe.
Jiji la starehe nenda Dar na Arusha,hapo ni sehemu ya Nazi.
Over
 
Nimekusoma
 
Uko sahihi,Ila suala la kupumua litoe mkuu,hawana mamlaka nalo,hata jiwe hakuwa na hayo mamlaka🤣🤣usikufuru🙏
 
Back
Top Bottom