itoko jr
JF-Expert Member
- Feb 26, 2023
- 1,125
- 2,542
Ooh.. okay sawaPart of my brain ni hyo picha ila huyo si mimi

Yan appointment nazifanyia mbuyuniStarehe ni sehemu ya maisha naomba nisinukuliwe popote pale vibaya kutokana na thread hii na maisha yangu ndani ya JF, Nimefunga safari kuingia dodoma, lengo ni kula maisha, kuenjoy, kufanya starehe.
Ni ngumu sana kuenjoy hapa dodoma, Bar zimekaa kiuchovu sana, Sijui shida ni hali ya hewa ya ubaridi au ni nini haswa.
Nimezunguka bar 13 pendwa hakuna kitu. Au starehe ni za msimu. Nimeingia mapema sana kutafuta pozi ila wapi, toka saa saba mchana mpaka saa tano na nusu hii, sijaona cha maana. Hili ni jiji la siasa haswa na kazi, kweli haya ni makao makuu ya serikali, nimeingia bar zilizonyingi watu wamekaa kwenye stuli au makochi sijui na familia zao au watu wao wa karibu, i came alone, i am alone, naondoka usiku huu, naelekea Morogoro. Dar sasahivi ningekua nimemaliza captain morgan tatu.
Mkuu warangi ni wabaya?Watu wa Dodoma hawana customer care ktk biashara zao, ni wapuuzi sana, wabaya halafu waajifanya wao ndo wao.
Wagogo ndo wajingaMkuu warangi ni wabaya?
Au unamaanisha akina Lemutuzi wagogo
Paki boya sana hukoStarehe ni sehemu ya maisha naomba nisinukuliwe popote pale vibaya kutokana na thread hii na maisha yangu ndani ya JF, Nimefunga safari kuingia dodoma, lengo ni kula maisha, kuenjoy, kufanya starehe.
Ni ngumu sana kuenjoy hapa dodoma, Bar zimekaa kiuchovu sana, Sijui shida ni hali ya hewa ya ubaridi au ni nini haswa.
Nimezunguka bar 13 pendwa hakuna kitu. Au starehe ni za msimu. Nimeingia mapema sana kutafuta pozi ila wapi, toka saa saba mchana mpaka saa tano na nusu hii, sijaona cha maana. Hili ni jiji la siasa haswa na kazi, kweli haya ni makao makuu ya serikali, nimeingia bar zilizonyingi watu wamekaa kwenye stuli au makochi sijui na familia zao au watu wao wa karibu, i came alone, i am alone, naondoka usiku huu, naelekea Morogoro. Dar sasahivi ningekua nimemaliza captain morgan tatu.
Hao ni familia wanapata biaStarehe ni sehemu ya maisha naomba nisinukuliwe popote pale vibaya kutokana na thread hii na maisha yangu ndani ya JF, Nimefunga safari kuingia dodoma, lengo ni kula maisha, kuenjoy, kufanya starehe.
Ni ngumu sana kuenjoy hapa dodoma, Bar zimekaa kiuchovu sana, Sijui shida ni hali ya hewa ya ubaridi au ni nini haswa.
Nimezunguka bar 13 pendwa hakuna kitu. Au starehe ni za msimu. Nimeingia mapema sana kutafuta pozi ila wapi, toka saa saba mchana mpaka saa tano na nusu hii, sijaona cha maana. Hili ni jiji la siasa haswa na kazi, kweli haya ni makao makuu ya serikali, nimeingia bar zilizonyingi watu wamekaa kwenye stuli au makochi sijui na familia zao au watu wao wa karibu, i came alone, i am alone, naondoka usiku huu, naelekea Morogoro. Dar sasahivi ningekua nimemaliza captain morgan tatu.
Washamba tuWatu wa Dodoma hawana customer care ktk biashara zao, ni wapuuzi sana, wabaya halafu waajifanya wao ndo wao.