Ni ngumu sana ku-enjoy Dodoma kama umepazoea Dar

Yan appointment nazifanyia mbuyuni
 
Watu wa Dodoma hawana customer care ktk biashara zao, ni wapuuzi sana, wabaya halafu waajifanya wao ndo wao.
 
Watu wa Dodoma hawana customer care ktk biashara zao, ni wapuuzi sana, wabaya halafu waajifanya wao ndo wao.
Mkuu warangi ni wabaya?
Au unamaanisha akina Lemutuzi wagogo
 
Ndio mara yangu ya kwanza Dom. Nipo rainbow, mbona kuzuri tu....
 
Paki boya sana huko
 
Hao ni familia wanapata bia
 
Nilipita Dom mwaka juzi, Yapo mabadiliko lakini kiduchu!... Dom inahitaji miaka 10-15 ya kazi ili angalau ifikie hatua ya Dar ya sasa. 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…