Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Nipo sehemu flani hivi executive. Nimekaa na mpenzi wangu tuna enjoy mlo wa mchana.
Kilichonishtua ni ustaadhi wa kiarabu kaja na vitoto vyake viwili. Haviongei kiarabu. Vinashindana na vitoto vingine vinne vya kihindi kuongea Kizungu. Siyo Kiarabu siyo Kihindi. Kizungu.
Nimechoka kabisa. Wakati napambana watoto wangu wajifunze Kisambaa na Kiswahili. Sitaki kabisa waje jifunza lugha za kikafir.
Na nitaendeleza mgomo hata kutumia vitu vya wazungu. Huyu Mwarabu ana iphone mhindi nadhani ni Samsung. Ila naona hata mapozi yao yamekaa kizungu zungu sana. Sielewi. Yaani naona ni ngumu sana kumkataa mzungu na mambo yake.
Wakristo husema kumkataa Shetani na mambo yake. Siyo tu unamkataa Shetani kisha unafanya mambo yake. Ule msemo wa Baniani Mbaya kiatu chake Dawa.
Nimewaza sana. Haya maisha haya... Ni ngumu sana kuwakwepa wazungu na wachina. Tena hawa wachina ndo kabisa. Wanabagua sana hizi Dini nyingine kule kwao. Huwa hawana haki sijui za nini... Wanakubaluza tu ukafilie mbele hawataki masikhara kabisa.
Nawaza mimi ni stick kwenye Dini zetu tu za Kibantu. Uongo? Anyway... Mmesikia? Huko Uganda nyama ya binadamu ni deal sana. Wanasema tamu sana.