Ni ngumu sana kumpata Mwanamke kama Tulia Ackson. Ana uwezo mkubwa, anafaa kuwa Rais

Uwezo wa nini Sasa unakurupuka tu
 
Upstairs yuko vizuri sana na anajua kufanya timing kwenye maisha ya saisa za TZ, jambo ambalo huwa linawashinda hata wakongwe.

Huwa nawashangaa CDM wanaposema jimbo la Mbeya mjini watashinda, hizi ni same delusions kama za kuwaza kuwa unaweza kushinda urais wakati uwezo wa kushinda hata nusu ya viti vya ubunge hauna.
 
"anafaa kuwa Rais" ,nimefungua Uzi bila kusoma chochote.

Nimefungua ili nikuambie kuwa wewe ni BUMUNDA mkuu.

"Kwa mwanaume mwenye upeo mdogo lazima amwone Tulia kama Mjuaji, hasa pale atakaposhindwa kwa Hoja."

Naunga mkono hoja kwa msisitizo kama vipi 2025 twende na mwanamke lakini si lazima Samia.

Cc: Pascal Mayalla
 

..mara nyingi Dk.Tulia hana hoja ila hutumia zaidi UBABE unaotokana na nafasi yake akiwa Naibu Spika au Spika.

..ukitaka kumpima mwanasiasa kama ana hoja / uwezo ama la basi utalazimika kumpima akiwa nje ya mamlaka na mbeleko ya serikali au dola.

..ukimsikiliza hoja za Dk.Tulia anapoongea na wananchi wa kawaida nje ya Uspika wake utagundua kwamba ni mwanasiasa anayelaghai wananchi kwasababu wengi wao sio waelewa.

..Mwisho, Dk.Tulia ni mwanasheria kitaaluma. Je, ametumia wanasheria wake kwa manufaa ya watawala, au kwa manufaa ya wanyonge? Je, Dk.Tulia ni mwanasheria mtafuta ngawira na vyeo, au mwanasheria mtetezi wa haki?
 

Ni afadhali ya Zumaridi kuliko huyu kiumbe

πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Umeshakula like yangu
 
Ni afadhali ya Zumaridi kuliko huyu kiumbe

πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Unazungumzia Zumaridi wa minara ya mbinguni au
 
Mtu anaeiongezea serikali muda wa kutukaanga na mgao wa umeme?
Anakua na mihemko na ubabe lakini sio kama nibora kama hao uliomfananisha nao.
 
ani toka ametoa karii moja bungeni nainukuu Lama ilivyo kua " kuna wengine hawajawahi kuvusha hata shati bandarini ila utawakuta wanazungumzia kuhusu bandari" kwa maneno hayo ilitosha kushema me kuamini kwamba she is not enough to be a leader who should stand for the intentions of common people. sasa hajui Kia mpaka shati imeletwa toka China na bei ya sh 20000 manaake ni kutokana na- moja gharama za marighafi za utangenazeaji- mbili gharama za usafirishaji tatu kodi elekezi ya shati hiyo kuvushwa bandalini. kwahiyoo hakufikiria yote hayoo kama doctor. usimpambe kaka ukitegemea atakupa tonge no
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…