Ni ngumu sana kumpata Mwanamke kama Tulia Ackson. Ana uwezo mkubwa, anafaa kuwa Rais

Unajua Tulia amewazidi Wanaume wangapi uwezo wa kielimu, kiuchumi, Kifikra, a Kiuongozi?
Unajua ni tulia amezidiwa na wanaume wangapi elimu?
Kama elimu ndio kigezo chako you are so mistaken, kuna maprof, na phd holders kibao kabla ya tulia kupata hiyo phd. Unajua panel iliyo approve hiyo phd yake ili kuwa na asilimia ngapi wanaume?
 
Sasa waweke pàmoja Wapewe mdahalo na Tulia Akson alafu utaelewa nazungumzia kitu gani.

Pale bungeni ni wabunge wachache Sana wenye uwezo wa kumpa challenge Kwa hoja huyo Tulia.
 
Nje ya mdahalo wenye kinga ya madaraka yake ni wa kawaida tu. Inshort hatishi hivyo. Ni kweli ana uwezo fulani, lakini hatishi kwa kiwango unachotaka tuamini.
 
Kwa jinsia Yake anatisha.
Ila kiumeni anaweza kuwa wakawaida
 
Rais wa nn ?
 
Kitu hasa kafanya hadi aweze kuwa rais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…