Simba ni kubwa mno kuwa na CEO kama Barbara.
Kwa waislamu ni dhambi kusema uongo makusudi, Ahmed Ally kijana wa watu anapitia kipindi kigumu sana kinachomfanya aharibu dini yake. Analazimika kusema uongo kwa kujua au kutokujua ili tu kuifunika Simba isikae uchi. Atafanya hivyo hadi lini?
Hakuna Watu wapumbavu km wale wanaongiza udini na dini ktk Mambo technical km haya ya kiutawala.Simba ni kubwa mno kuwa na CEO kama Barbara.
Kwa waislamu ni dhambi kusema uongo makusudi, Ahmed Ally kijana wa watu anapitia kipindi kigumu sana kinachomfanya aharibu dini yake. Analazimika kusema uongo kwa kujua au kutokujua ili tu kuifunika Simba isikae uchi. Atafanya hivyo hadi lini?
Mbona Morrison mwenyewe amekiri kuwa Simba ndiyo wamemtupia virago? Huu uwongo unawasaidia nini? Kama kuna watu wanachezeshwa kiduku na huyu mchizi ni nyie washabiki na viongozi wa Utopolo. Huyu mkora aliwakimbia kihuni,mkatumia mamilioni kumpeleka CAS akawabwaga na mkamlipa mamilioni mengine na leo tena mnamshobokea. Hivi zinawatosha kweli au ndiyo kama alivyosema zeruzeru?Morison anawachezea tu akili mashabiki wa simba. Kitambo tu alishasaini miaka miwili Yanga.
Ila amewaweka Utopolo la kati.BM3 sio gaidi
Kumlazimisha mtumishi aseme uongo na mtu huyo akaongea huo uongo ni dhambi bila kujali dini. Hata zile amri 10 za Musa Kuna moja inakataza kumsingia mtu uongo. Morrison alisingiziwa kuwa ana matatizo ya kifamikia wakati hakuwa na matatizo, na Ahmed Ally akaambiwa aseme na kuandika hivyo. Hii ni dhambi au sio?Hakuna Watu wapumbavu km wale wanaongiza udini na dini ktk Mambo technical km haya ya kiutawala.
Ahmed hayuko pale Simba kuhabarisha Yale unayotaka ww au yanayokufurahisha au yale anayopenda yeye Bali anatangaza kile ambacho uongozi unamwelekeza. Uongozi hauko hivyo unavyofikiri wewe.
Basi mshauri akaajiriwe msikitini Ili alinde huo uislamu wake.
Pumba tupuItamlazimisha Ahmed Ally afungue Account zaidi ya moja za kuweka MANENO vinginevyo ninamshauri arudi Azam media akaendelee na kazi yake mama
Mifano,Pumba tupu