Ni ngumu sana kuwa msemaji wa Simba chini ya CEO Barbara

Ni ngumu sana kuwa msemaji wa Simba chini ya CEO Barbara

Simba kweli ina maadui wengi jambo likitokea simba kila mwandishi wa habari stafanya interview na watu wa michongo ila mpaka leo haijulikani kwa nn ntibanzonkiza kaondoka yanga na waandishi wamekaa kimya tu.
Bahasha bahasha na kujiendekeza na njaa kwa waandishi. Afu imekuwa kama desturi yao kuwa machawa sasa wamekuwa makunguni na makupe kabisa.
 
Mifano,
1. Alisema Morrison ana matatizo kwao, kumbe kasema uongo.
2. Alisema Aziz Ki anakuja Simba, hakuja
3. Alisema Manzuki anakuja Simba, hakuja
4. Alisema Simba Kuna mzungu, kumbe uongo ni Mrangi wa Kondoa.

Anapotoshwa na uongozi nayeye bila kuhoji anayapeleka hewani hivyohivyo
Manzuki
 
Morison hakukosea kusema wanayanga wengi hamjasoma
Inawezekana hawakusoma kweli lakini kuwasha moto katikati ya kiwanja kishirikina ndio usomi wenyewe?

Hebu niambie, Yanga na Simba zikicheza mechi ya ngao ya jamii trh 13 August 2023 dar es salaam, Simba ambayo ilikuwa na mechi ya ligi na geita gold uwanja wa Mkapa ilikuwa Jumatano wakati Yanga ambayo mechi yake na polisi Tanzania Arusha ikapangiwa ichezwe jumanne, siku moja kabla ya Simba ambayo haisafiri popote. Hata kama huna akili utajua TU kuwa Kuna hujuma za kipuuzi.

Kwanini mechi ya Simba isingechezwa jumanne na Ile ya Yanga wanaotakiwa kusafiri kwenda Arusha isingewekwa Jumatano ili kupata muda kwa wachezaji kupunzika? Maana yake inatafsiriwa na yanga kuwa TFF imewapatia ahueni zaizi ya recovery kuliko Yanga.
 
Inawezekana hawakusoma kweli lakini kuwasha moto katikati ya kiwanja kishirikina ndio usomi wenyewe?

Hebu niambie, Yanga na Simba zikicheza mechi ya ngao ya jamii trh 13 August 2023 dar es salaam, Simba ambayo ilikuwa na mechi ya ligi na geita gold uwanja wa Mkapa ilikuwa Jumatano wakati Yanga ambayo mechi yake na polisi Tanzania Arusha ikapangiwa ichezwe jumanne, siku moja kabla ya Simba ambayo haisafiri popote. Hata kama huna akili utajua TU kuwa Kuna hujuma za kipuuzi.

Kwanini mechi ya Simba isingechezwa jumanne na Ile ya Yanga wanaotakiwa kusafiri kwenda Arusha isingewekwa Jumatano ili kupata muda kwa wachezaji kupunzika?
Nenda CAS
 
Nasikia Zolan kafukuzwa lakini kabaki Matola na Barbara. Binafsi namuonea huruma Ahmed Ally. Kaimba lete mzungu weee Sasa analazika kuimba ondoka mzungu. Sasa hivi Ahmed Ally anaonekana kama kikaragosi.
 
Back
Top Bottom