Kerosine Bal
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 247
- 231
Bahasha bahasha na kujiendekeza na njaa kwa waandishi. Afu imekuwa kama desturi yao kuwa machawa sasa wamekuwa makunguni na makupe kabisa.Simba kweli ina maadui wengi jambo likitokea simba kila mwandishi wa habari stafanya interview na watu wa michongo ila mpaka leo haijulikani kwa nn ntibanzonkiza kaondoka yanga na waandishi wamekaa kimya tu.
ManzukiMifano,
1. Alisema Morrison ana matatizo kwao, kumbe kasema uongo.
2. Alisema Aziz Ki anakuja Simba, hakuja
3. Alisema Manzuki anakuja Simba, hakuja
4. Alisema Simba Kuna mzungu, kumbe uongo ni Mrangi wa Kondoa.
Anapotoshwa na uongozi nayeye bila kuhoji anayapeleka hewani hivyohivyo
Inawezekana hawakusoma kweli lakini kuwasha moto katikati ya kiwanja kishirikina ndio usomi wenyewe?Morison hakukosea kusema wanayanga wengi hamjasoma
Nenda CASInawezekana hawakusoma kweli lakini kuwasha moto katikati ya kiwanja kishirikina ndio usomi wenyewe?
Hebu niambie, Yanga na Simba zikicheza mechi ya ngao ya jamii trh 13 August 2023 dar es salaam, Simba ambayo ilikuwa na mechi ya ligi na geita gold uwanja wa Mkapa ilikuwa Jumatano wakati Yanga ambayo mechi yake na polisi Tanzania Arusha ikapangiwa ichezwe jumanne, siku moja kabla ya Simba ambayo haisafiri popote. Hata kama huna akili utajua TU kuwa Kuna hujuma za kipuuzi.
Kwanini mechi ya Simba isingechezwa jumanne na Ile ya Yanga wanaotakiwa kusafiri kwenda Arusha isingewekwa Jumatano ili kupata muda kwa wachezaji kupunzika?