Vladivostok
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 307
- 1,387
Umofia kwenu.
Ndugu zangu ni vigumu mno kuwatoa Wasudan kwao, ninasema hivI kutokana uzoefu nilikuwanao. Nilishwahi kuishi miaka miwili pale Sudan, kiufupi jamaa ni makatili ile mbaya.
Simba alishawahi kushinda tatu kwa mtungi kwa Mkapa akiwafungu Ahli Shandy, ila alienda kufa nne bin sifuri kule Sudan. Simba hawakuamini macho yao.
Kifupi safari ya Yanga imeshia tayari kwa Mkapa.